Unordered List

Definition List

Lucy Komba Awapa Vijembe Wote Waliodai Hataolewa

Msanii maarufu wa filamu nchini, lucy komba, ambaye ivi karibuni alifunga ndoa na aliyekuwa mchumba wake wa siku nyingi, ambaye ni raia wa denmark.


Msanii huyo amewatupia dongo lahaja wabaya wake waliokuwa wakimwambia ataishia kuvaa shera kwenye movie tu na hawezi kuolewa kweli.

Kupitia ukurasa wake wa instagram lucy alipost hii picha(chini) akiambatanisha na maneno yafuatayo: "Ni kwale waliokuwa wakisema utaishia kuvaa shera kwenye filamu tu, hizo zilikuwa ni dua la kuku, mboga dagaa tu kuku nyama ya hamu".
Lucy Komba Awapa Vijembe Wote Waliodai Hataolewa Lucy Komba Awapa Vijembe Wote Waliodai Hataolewa Reviewed by Admin on Friday, September 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.