Unordered List

Definition List

Shilole Akiri live Kutotumia Condom Katika Mapenzi

Mwigizaji na Mwanamuziki Maarufu Bongo Shilole Amesema Kwake Matumizi ya Condom huyu yanamyima raha ya Mapenzi Hivyo alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake ili wasitumie mipira.

Shilole Amezidi Kusema kuwa raha ya mapenzi ni kukutana na mpenzi bila kuwa na kizuizi chochote asikwambie mtu raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa maganda huondoa utamu
Shilole Akiri live Kutotumia Condom Katika Mapenzi Shilole Akiri live Kutotumia Condom Katika Mapenzi Reviewed by Admin on Monday, September 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.