Unordered List

Definition List

Skendo La Usagaji La Aunty Lulu Lamtia Presha Mamake

Staa wa filamu Bongo, Lulu Semagongo ‘Aunt Lulu’ amefunguka kuwa skendo ya kujihusisha ya vitendo vya kisagaji inayomuandama imemsababishia msala mkubwa kwa mama yake na kuamua kumuomba radhi.

Akizungumza na Global publisher, Aunty Lulu alisema mama yake ana ugonjwa wa presha hivyo amejirekebisha katika eneo hilo ili asiweze kumkwaza tena mzazi wake huyo.

“Najua nimemuumiza sana mama yangu, nachukua fursa hii kumuomba sana samahani kwa kuwa najua aliumia sana kutokana na habari hiyo lakini nataka kumuambia kuwa mimi mtoto na nitaendelea kuwa mwanaye, anisamehe mama yangu,” alisema Aunty Lulu.
Skendo La Usagaji La Aunty Lulu Lamtia Presha Mamake Skendo La Usagaji La Aunty Lulu Lamtia Presha Mamake Reviewed by Admin on Wednesday, September 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.