Unordered List

Definition List

Beyonce Aphotoshop Picha Ya Mapaja Yake, Azua Balaa Mtandaoni

Picha ya Beyonce aliyoiachilia akiwa ndani ya jahazi aka yatch imezua sintofahamu kama kweli picha za staa huyu ni za kweli.

Wadadisi ambao walipiga msasa picha moja iliyomuonyesha Bey na mwanya mkubwa katikati ya mapaja yake wamevumbua kua staa huyu aidha amefanya photoshopping ama itakuwa sehemu ya ngazi ya jahazi hilo iliundwa vibaya.



Kwa umakini picha ya pili yaonyesha kuwa sehemu ya nyuma ya ngazi za jahazi hilo limepindika...kuashiria kuwa lazima kuwa kuna jambo flani ambalo si lakawaida.

Hii haitakuwa mara ya kwanza kwa Beyonce kuhutumiwa kufanya photoshopping picha zake.

Bey aliirusha picha hii siku ya Jumanne ambapo yeye na Jay Z wanakula bata
Beyonce Aphotoshop Picha Ya Mapaja Yake, Azua Balaa Mtandaoni Beyonce Aphotoshop Picha Ya Mapaja Yake, Azua Balaa Mtandaoni Reviewed by Admin on Friday, September 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.