Unordered List

Definition List

Petit Man Na Dadake Diamond Platnumz Esma Kufunga Ndoa Karibuni


Meneja wa msanii, Mirror na mfanyakazi wa kampuni ya Wema Sepetu, Endless Fame Films, Petit Man ambaye awali alidaiwa kuwa na uhusiano na Kajala, kisha kuwa na mdogo wake Vanessa Mdee, amethibitisha kuwa na uhusiano wa kimapenzi na dada yake Diamond Platnumz, Esma na kwamba ana mipango ya kufunga naye ndoa.

“Ni kweli Esma ni mchumba wangu na Mungu akijalia soon tunafunga ndoa,” alisema Petit kwenye kipindi cha My Playlist cha Clouds TV.

Alipoulizwa jinsi Diamond anavyouchukulia uhusiano wao, alisema: Unajua siwezi kumsea moyo wake lakini naona kawaida na hamna tatizo lolote.”
Petit Man Na Dadake Diamond Platnumz Esma Kufunga Ndoa Karibuni Petit Man Na Dadake Diamond Platnumz Esma Kufunga Ndoa Karibuni Reviewed by Admin on Wednesday, September 17, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.