Unordered List

Definition List

Picha Ya Ndege Tata Inayoshukiwa Kuangusha Kanisa La Mtume T.B Joshua

Hadi wa sasa tukio ambalo lilijiri kuanguka kwa kanisa la The Synagogue, Church Of All Nations (SCOAN) ambalo lipo nchini Afrika Kusuni watu 80 wamepoteza maisha yao.

Chanzo cha kuanguka kanisa hilo halijajulikana lakini TB Joshua anadai kuna ndege isioeleweka ndio iliyosababisha jambo hilo.


Picha zilizonaswa na muumini mmoja kwa jina Shadrack Mamzini zilionyesha ndege iliyokuwa ikipita karibu na kanisa hilo.



Mtume T.B Joshua anadai kisanga hicho kitakuwa ni kazi ya kikundi haramu cha bokoharam.
Picha Ya Ndege Tata Inayoshukiwa Kuangusha Kanisa La Mtume T.B Joshua Picha Ya Ndege Tata Inayoshukiwa Kuangusha Kanisa La Mtume T.B Joshua Reviewed by Admin on Friday, September 19, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.