Unordered List

Definition List

Picha Ya Mitego Ya Lulu Michael Ilionuia Kuwatega Wanaume Wakware

GAUNI alilovaa msanii wa filamu Bongo, Elizabeth Michael hivi karibuni alipokuwa kwenye hafla ya utoaji wa Tuzo za Watu limeonesha kuwatega wanaume hasa wakware kufuatia kuuanika ‘upaja’ wake.

Akiwa ndani ya ukumbi uliopo ndani ya hoteli ya Serena, Posta jijini Dar, Lulu alionekana amevalia gauni refu lakini pembeni likiwa na mpasuo mkubwa ambapo kila alipokaa, mapaja yake yalionekana wazi hivyo kumfanya ahangaikekuyaficha huku wanaume nao wakitumia muda mwingi kumkodolea macho kisha kunong’ona.
Picha Ya Mitego Ya Lulu Michael Ilionuia Kuwatega Wanaume Wakware Picha Ya Mitego Ya Lulu Michael Ilionuia Kuwatega Wanaume Wakware Reviewed by Admin on Saturday, July 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.