Unordered List

Definition List

Hawa Ndio Wafuasi Wanawake Wa Kundi Haramu La Boko Haram Waliokamatwa

Nigeria wako mbioni kuhakikisha wanapata kuwakamata wahusika wowote wa kundi lililoharamishwa la boko haramu ambalo linawala vichwa wakuu wa serikali ya Nigeria.

Katika kuhakikisha wameliangamiza kundi hilo, serikali ya Nigeria imeweza kuwanasa washukiwa watatu wanawake wa kundi hilo.

Katika taarifa ilioachiliwa na serikali hio baada ya kuwanasa watatu hawa ndio hii hapa:

In the aftermath of the failed suicide bombing attempt on a military facility by a female terrorist who blew herself up in Gombe recently, troops have arrested three suspected female terrorists who have been secretly recruiting ladies into the female wing of the terrorists group. The suspects, Hafsat Usman Bako, Zainab Idris and Aisha Abubakar were intercepted while travelling to Madagali from where they were to transit to the forest to reunite with their cohorts.


Hawa Ndio Wafuasi Wanawake Wa Kundi Haramu La Boko Haram Waliokamatwa Hawa Ndio Wafuasi Wanawake Wa Kundi Haramu La Boko Haram Waliokamatwa Reviewed by BkuHabari Admin on Friday, July 04, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.