Unordered List

Definition List

Diamond Platnumz Ashinda Tuzo La KORA Awards Baada Ya Kupoteza BET


STAA wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz ametangazwa kuwa mshindi wa tuzo za Kora katika kipengele cha Msanii Bora wa Kiume wa Afrika Mashariki.

Meneja wa msanii huyo, Babu Tale amethibitisha kupokea cheti cha heshima kuhusu tuzo hiyo huku akisema wanasubiri utaratibu zaidi.

Kora Awards ni awards za musiki ambazo hutolewa kila mwaka katika kanda ya sub-Saharan Africa. Ilianzishwa mwaka 1994 na Ernest Adjovi. KORA Awards zinamfanano sawia na American Grammy Awards kama vile BET.
Diamond Platnumz Ashinda Tuzo La KORA Awards Baada Ya Kupoteza BET Diamond Platnumz Ashinda Tuzo La KORA Awards Baada Ya Kupoteza BET Reviewed by Admin on Saturday, July 05, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.