Unordered List

Definition List

Picha Exclusive Ya Mtalii Aliyeuliwa Kama Mnyama Jijini Mombasa

Siku ya jana pekee nchini Kenya kuliuliwa zaidi ya watu 20 huku matukio yakiwa kutoka sehemu tofauti tofauti.

Serikali bado haijapata kuelewa ni akina nani mahususi wanaohusika na mashambulizi haya lakini Al Shabaab mara kwa mara wanadai kuhusika katika mashambulizi.

Katika picha exclusive iliotufikia bkuHABARI imeonyesha mtalii aliyepigwa risasi ya kichwa na watu wasiojulikana jijini Mombasa.


Inasemekana mtalii huyu akiwa na wenzake waliviziwa na majambazi hawa na mmoja wao alikataa kutoa kile alichoambiwa kufanya.
Picha Exclusive Ya Mtalii Aliyeuliwa Kama Mnyama Jijini Mombasa Picha Exclusive Ya Mtalii Aliyeuliwa Kama Mnyama Jijini Mombasa Reviewed by Admin on Monday, July 07, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.