Unordered List

Definition List

Mshindi Wa BET Awards Davido Apozi Na 24Monster Headphones, Anapiga Hesabu Gani?

Staa wa Nigeria anayewika na nyimbo 'Aye' amerusha picha kwa mtandao wa Instagram ikimuonyesha amevalia headphones aina ya 24monster iliyopakwa rangi ya dhahabu.

Staa huyu ambaye alifanya kolabo na Diamond Platinumz katika nyimbo ya My Number One aliweza kushinda tuzo la Best International Act: Africa baada ya kumpiku Diamond kwa urahisi.

Cheki picha yenyewe

 
 
Mshindi Wa BET Awards Davido Apozi Na 24Monster Headphones, Anapiga Hesabu Gani? Mshindi Wa BET Awards Davido Apozi Na 24Monster Headphones, Anapiga Hesabu Gani? Reviewed by BkuHabari Admin on Wednesday, July 02, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.