Unordered List

Definition List

Maheeda: Rihanna Ameiba Mtindo Wangu Wa Kuvaa Nguo Za Uchi


Staa wa Nigeria ambaye sahizi amepewa jina la Queen of Nudity Maheeda ameingia kwa mtandao wa Twitter na kudai kuwa Rihanna ameiba mtindo wake wa kuvaa nguo za uchi.

Staa huyu wa nyimbo za injili video za utata aliyaongea haya baada ya Rihanna kupewa attension ulimwengu mzima kwa kuvalia nguo za utupu.

Katika tweet zake ni kuwa Maheeda ameandika wazi kuwa Riri amemuibia design yake ya nguo ambaye sahizi inampa umaarufu zaidi.

Maheeda kama Rihanna amefungiwa akaunti yake ya Instagram baada ya kurusha picha za uchi ambazo zimekiuka matumizi na masharti ya mtandao huo.

Cheki tweef yake:

Maheeda: Rihanna Ameiba Mtindo Wangu Wa Kuvaa Nguo Za Uchi Maheeda: Rihanna Ameiba Mtindo Wangu Wa Kuvaa Nguo Za Uchi Reviewed by Admin on Sunday, June 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.