
Mamake Diamond Platnumz alizaliwa siku ya 7/7 na Diamond Platnumz amemuahidi mamake mzazi kuwa atafanya shoo bab kubwa ambayo haitasahaulika kamwe na mafans wake.
Siku hio inatarajiwa kuwa Jumatatu ya kesho.

Hivi Ndivyo Diamond Platnumz anavyotarajiwa Kuipamba Birthday Ya Mamake Mzazi
Reviewed by BkuHabari Admin
on
Sunday, July 06, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano