Unordered List

Definition List

Rihanna, Diamond Platinumz Na Chris Brown Kukaa Katika Meza Moja

Siku ya Juni 29 itakuwa siku kubwa kwa Diamond Platinumz kwani ameshirikishwa katika tuzo la MTV BET Awards.

Siku hio Diamond anapaniwa kupokea tuzo lake la kwanza la kimataifa (kama unaendelea kumrushia kura zako).

Muda huu Diamond ameweza kuwapiku wapinzani wake kama vile Davido wa Nigeria.

Platinumz yuko katika shindano la Best International Singer.

Katika awards hizo, Diamond atakuwa katika bench moja na wasanii maarufu kama vile Drake, Rihanna, Beyonce, Chris Brown baadhi ya wengine.
Rihanna, Diamond Platinumz Na Chris Brown Kukaa Katika Meza Moja Rihanna, Diamond Platinumz Na Chris Brown Kukaa Katika Meza Moja Reviewed by Admin on Friday, June 06, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.