Unordered List

Gharama Ya Video Ya My Number One Remix

Definition List


Naseeb Abdul “Diamond Platinumz” ameweka wazi kuhusu gharama ya video yake ya Number One Remix aliyoifanya na director Clarence Peters wa Nigeria.

Diamond anasema gharama hii hazijumuishi usafiri wala accommodation walipokua  Nigeria.

Diamond amelipa dola 25,000 sawa na Tsh millioni 40 za kitanzania kufanya production ya hii video ambapo ilijumuisha gharama za kila kitu hadi models na dancers.
Gharama Ya Video Ya My Number One Remix Gharama Ya Video Ya My Number One Remix Reviewed by Admin on Wednesday, January 08, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.