Unordered List

Definition List

Mafans Wa Diamond Na Wema Sepetu Wamtusi Penny Kwa Keki...Ajab

Kufikia sasa mafans waliotamani Diamond na Wema warudiane wanafuraha ya ajabu baada ya wawili hao kutangaza penzi lao kwa mara nyingine.

Lakini kuna yule aliyefanya wawili hao waachane...Penny.

Penny ndiye alikuwa chanzo cha wawili hao kuachana, jambo ambalo lilichukiza wengi.

Kurudisha machungu yao, mafans waliingia kwa mitandao na kumchana live kupitia michoro ya keki. Waliamua kuachilia picha kwa mtandao wa Instagram huku wakiongeza maneno makali ya kukinaisha.

'bwahahahahaha hahaha Heri ya Mwaka mpyaa jamanii watu wa nguvu #Muibaji Mkubwa nchinii Tanzania na ana phd ya Kuibaa wanaumee za dada zakee sis tunaimuita Mpekecho....'

Hayo ndio baadhi ya maneno yaliyowekwa yakiunganishwa na keki yenye maneno haya:

'Peni ukome kuchukua mabwana wa Rafiki/dada zako'



Salaam natumai zimemfikia Penny muda huu.
Mafans Wa Diamond Na Wema Sepetu Wamtusi Penny Kwa Keki...Ajab Mafans Wa Diamond Na Wema Sepetu Wamtusi Penny Kwa Keki...Ajab Reviewed by Admin on Wednesday, January 01, 2014 Rating: 5

1 comment:

  1. Penny naye mzur,tena sweet wa nguvu.atapata mwenye mapenz ya kwel amupendaye kwa dhati.huyo asiyejua thaman ya mapenz asimubabaish kamwe,hata apewe nin haridhk,na anawagombanish marafk,akome

    ReplyDelete

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.