Beyonce a.k.a Queen B ameamua kuingia katika tetesi kwa
mara nyingine.
Wakati huu ameamua kujishirikisha na Yesu, ameamua kujiingiza katika 'last supper' ya Yesu na wanafunzi wake, picha ambayo ilichorwa na Da Vinci.
Beyonce aliiweka picha hio katika akaunti yake ya Instagram bila kuweka maandishi yeyote.
Ok, sahiz Queen B ameamua kujishirikisha na Yesu, wauona huo mtindo?!? Kutoka kwa Kanye West, Chris Brown na sasa Beyonce, sijui nani mwingine ataufuata mondo huu.

Beyonce Ajiingiza Katika Chakula Cha Mwisho Cha Yesu, Amesisimua Mtandao
Reviewed by Admin
on
Wednesday, January 01, 2014
Rating:
No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano