Unordered List

Definition List

Lady Jaydee Afunguka Kuhusu Kwenda Na Meddy Ahmed Kimapenzi

Lady Jaydee ameamua kujibu habari iliyoandikwa kwenye gazeti la udaku la Risasi kuhusukuwa na uhusiano na aliyewahi kuwa mtuma salamu maarufu kwenye redio, Meddy Ahmed aka ‘Mtoto wa Vitoto’

Kwenye habari hiyo, Risasi wanadai kuwa Jaydee ambaye anadaiwa kuachana na mume wake Gadner G Habash ameonekana mara kadhaa na Mtoto wa Vitoto na kwamba amewahi kuonekana akiwa na gari lake.

Kupitia Instagram, Jaydee ameandika: Kuna habari za kuniudhi Ila hii imenichekesha. Kwa hiyo mtoto wa vitoto ndio bwana angu???? Basi sawa nashukuru naona mmenianzia tena sasa picha za February Na nilizi post mwenyewe humu insta leo ndiommeziona? Ukweli mnaujua mmeamua tu kuzingua ,,, wangapi wameshapiga picha nahiyo Range? Duuuh! !!!!! Shkamoooni Moyo wangu chuma. Pigeni mawe mpk mchoke Kama ambavyo mmekuwa mkifanya miaka yote na bado nipo hapa hapa.”
Lady Jaydee Afunguka Kuhusu Kwenda Na Meddy Ahmed Kimapenzi Lady Jaydee Afunguka Kuhusu Kwenda Na Meddy Ahmed Kimapenzi Reviewed by Admin on Sunday, August 31, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.