Unordered List

Definition List

Rose Ndauka Katika Mwonekano Mpya

Staa wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema licha ya kujifungua, kamwe hawezi kuzeeka kama wengi wanavyomtafsiri.

Rose alisema, kwa upande wake hata siku moja hawezi kumuunga mkono mtu anayesema kuzaa au kulea kunamfanya mtu azeeke kwani inategemea na jinsi mtu anavyojiweka.

Rose Ndauka katika pozi


“Nawashangaa hata wasanii wasiotaka kuzaa wakiona kama watakuwa wamemaliza ujana wao, asikwambie mtu hamna kitu kizuri kama kuitwa mama, nimejitunza na nimezidi kuwa mrembo hata baada ya kuzaa,” alisema Rose.
Rose Ndauka Katika Mwonekano Mpya Rose Ndauka Katika Mwonekano Mpya Reviewed by Admin on Tuesday, April 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.