Unordered List

Definition List

Diamond Platinumz Na Hussein Machozi Katika Bifu Nzito

Husein machozi ndiye msanii mwingine mkongwe aliyetokea kufunguka juu ya msanii Diamond Platnumz,wamewahi kufunguka wasanii wengi ,ikiwemo msanii mkongwe maarufu Alikiba ,na msanii mwingine mchanga Dayna Nyange kwa madai kuwa Diamond alimuibia Beat yake nakuitumia kwenye track yake ya MyNumberOne, Husein Machozi  amefunguka nakuweka wazi kuwa hamkubali Diamond,na nyimbo karibia zote alizowahi ku-hit nazo ni zaku-copy na kupaste ,kutoka kwa wasanii wengine hasa wachanga ambao hawana sauti katika media, kutokana nayeye ameshajipatia umaarufu teyari,nakuzidi kukubalika na watu wa kila sector hasa kwenye media.
Hussein Machozi

Beef ya Husein na Daimond ilianza kipindi hicho wakati Diamond yupo bado katika harakati za kutafuta umaarufu na kushikilia level za juu,Diamond aliiba wimbo wake ulioitwa Haikai,nakuichukua kuibadilisha jina na kuiita kizaizai,moja ya nyimbo ambayo ilimpa umaarufu Diamond,nakumsaidia kumweka katika chart za juu kimuziki, “I am still one of the best artistes in the region, and that is why artistes such as Diamond had to sample my song and call it Kizaizai to become famous. I have actually recorded many songs that I will release soon; he should copy those, too”alisema Husein machozi akiwa anahojiwa na moja ya media ya huko nchini Kenya.
Ali Kiba na Dayne Nyange

Diamond Platinumz Na Hussein Machozi Katika Bifu Nzito Diamond Platinumz Na Hussein Machozi Katika Bifu Nzito Reviewed by Admin on Tuesday, April 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.