Unordered List

Definition List

Jombi Ampigia Magoti Mpenziwe Kwa Ndege Ili Amuoe

Hakuna siku nzuri ambayo wanawake wanatamani kama ile siku wanaume zao wataambia 'Nataka Nikuoe'.

Na jamaa huyu alichukua mkondo wa kivyake kwa kutaka 'kumsaprise' mpenziwe kwa kumtajia maneno hayo wakiwa ndani ya ndege.

Cheki picha ya bingwa huyu akimpigia magoti mpenziwe ndani ya ndege.


Picha hizi ziliweza kunasuliwa na abiria mmoja na kuzirusha kwa mtandao wa Twitter huyu akidai kuwa alitabiri jamaa huyu alikuwa ana mambo yasiyo ya kawaida wakati aliposimama kutoka kwa kiti chache.

Cheki baadhi ya picha nyingine na Twitter 'paparazi' huyo alizoziachilia kwa mtandao.

Twitter za 'paparazi' akieleza tukio zima
Jombi katika pozi la magoti huyu akimuomba mpenziwe amkubali
Hahahah nani anaweza kukataa jambo kama hili wakati mko futi zaidi ya alfu hewani, atachizika
Jombi Ampigia Magoti Mpenziwe Kwa Ndege Ili Amuoe Jombi Ampigia Magoti Mpenziwe Kwa Ndege Ili Amuoe Reviewed by Admin on Tuesday, April 01, 2014 Rating: 5

No comments:

Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!

Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano

Powered by Blogger.