Mshindi wa Grammy mara 5 Lady Gaga aliwasili nchini Greece kwa vishindo baada ya kuvalia fasheni ambayo wengi walifananisha na vazi la shepu ya nguva/mermaid.

Alitua kutoka private jet yake huku akibebwa na mabausa wawili ambao pia walikuwa wamevalia kimtindo.

Hii bila shaka ilikuwa style yake mpya ambayo wengi hawajawahi kuiona kutoka kwake.
Cheki baadhi ya picha nyingine

Cheki Nguo Alizovaa Lady Gaga Alipowasili Athens, Ugiriki
Reviewed by Admin
on
Friday, September 19, 2014
Rating:

No comments:
Tunapenda kuyasoma maoni/reaction kutoka kwako!
Kama una maoni tofauti na chapisho la hapo juu, wasiliana nasi kupitia ukurasa wetu wa mawasiliano